Search

8 results for Edwin Mjwahuzi :

  1. Lowassa alivyotinga kimafia Chadema bila walinzi

    Ni jambo ambalo halikutarajiwa na lilifanyika kwa siri hadi pale alipotua kwenye Kamati Kuu ya chama hicho usiku bila walinzi wake.

  2. Bashe aagiza viongozi wa ushirika wakamatwe

    Wakulima wa kijiji cha Isansa wilayani Mbozi mkoani Mbeya wamesimamisha msafara wa Waziri Kilimo, Hussein Bashe na kumweleza changamoto ya kutopewa fedha zao na Amcos yao wakati kahawa zao zimeuzwa.

  3. Wakulima Rukwa wachekelea ahueni mbolea ya ruzuku, bei ya mazao ikipaa

    Wakulima wabainisha malalamiko kudai upatikanaji mbolea ya ruzuku ya kutosha katika maeneo mbalimbali nchini huku wakishangilia kupaa kwa bei ya mazao yao.

  4. Balozi Kattanga aitaka TCRA kuwa mlezi, sio mdhibiti

    Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga ametoa ushauri kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuwa wakitaka nchi kufanikiwa na kuiikuza teknolojia katika uchumi wa kidigitali ni lazima...

  5. Bodaboda sasa zageuzwa kuwa ‘school bus’

    Wahenga wanasema usipoziba ufa, utajenga ukuta. Ndivyo inavyoonekana kwa wazazi wa jiji la Dar es Salaam ambao baadhi yao sasa wameamua kutumia huduma ya usafiri wa bodaboda kwa ajili ya...

  6. Lowassa sasa rasmi Ukawa

    >Katika dakika za mwishomwisho wakati wa mchakato wa kuwania urais kwa tiketi ya CCM, habari za mmoja wa wagombea aliyekuwa na nguvu katika kinyang’anyiro hicho, Edward Lowassa kwamba...

  7. Mbowe kutangaza Baraza Kivuli kesho

    Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kesho atatangaza Baraza Kivuli la Mawaziri.

  8. Sitta ahaha kunusuru Bunge Maalumu

    >Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta anahaha kulinusuru Bunge hilo, baada ya wajumbe ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao vinavyoendelea...